ORA-01031: insufficient privileges

ITX101.01.B

TANZANIA REVENUE AUTHORITY


INDIVIDUAL/MTU BINAFSI

APPLICATION FOR TAXPAYER REGISTRATION OR CHANGE OF REGISTERED PARTICULARS
MAOMBI YA USAJILI WA MLIPA KODI AU KUBADILI TAARIFA ZA USAJILI
Note: Furnishing false or misleading information is punishable by law/Kumbuka:Kutoa taarifa ya uongo au isiyo sahihi ni kosa kisheria.
Before filling the form, please read the attached notes at the end of the form carefully./Kabla ya kujaza fomu hii, tafadhali soma kwa makini maelekezo mwisho wa fomu hii.
  • Where registered details have changed, the applicant must only fill the taxpayer TIN and detail that have changed/Pale taarifa zinapokuwa zimebadilika,unatakiwa kujaza TIN na taarifa zilizobadilika tu.
  • Use capital letter and where applicable, mark with ( √ )/Tumia Herufi Kubwa, weka alama ( √ ) inapohitajika
  • Item marked with asterisk (*) are Mandatory/ Sehemu iliyowekewa alama ya nyota (*) ni lazima.

1:General Information / Taarifa ya Ujumla

1. * Apply for

 

   
2. * Name of Applicant/Jina la Mwombaji:
 

 


 

   

3. * Please provide one of following ID/ Tafadhali ambatanisha kitambulisho moja wapo katika hivi

 

 

 


 


 

 

4. * Nationality/ Uraia
 
 
 

 
 
5. * Reason for Taxpayer Registration/Sababu ya kujisajili::
 
6. Spouse Informations/Taarifa za Mwenza
Is Spouse doing business ? / Je Mume au Mke anafanya biashara ?
 
If Yes, fill in the Taxpayer Spouse Information / Kama Ndiyo, Jaza Taarifa za Mume au Mke
Spouse TIN

7. Business/ Residential Location / Eneo la Biashara/Makazi:
 
 
 
 
8. Postal Address/ Anuani ya Posta
9. Contact Numbers / Namba za Mawasiliano
 
   
10. * Employment Status/ Hali ya Ajira:
 
11. Employer Details/ Taarifa za Mwajiri


 

12. If the business is a Succession of an already existing Enterprise, Please state Previous TIN/ Kama biashara inaendeleza biashara nyingine iliopo tayari, Tafadhali Taja TIN ya zamani.


13. Have you registered your business name with BRELA? /Je, umesajili jina lako la biashara BRELA?
 


14. Particular of Business Premises /Taarifa ya Sehemu ya Biashara
 
 


   

   
 

16. * List your economic activity (ies) in descending order of turnover/ Orodhesha shughuli zako za kiuchumi, ukianza na biashara ya kipato kikubwa zaidi ya zote
a) Main Economic activity with higher turnover/ Shughuli kuu ya kiuchumi yenye mauzo ghafi makubwa
Economic Activity

17. Bank Account Information/ Taarifa ya Akaunti ya Benki

18. Taxpayer Representative/Wawakilishi wa Mlipakodi
Tax Consultant
 
Advocate/Lawyer
 
Auditor / Accountant
 
Agent
 

19. * Required attachment tick appropriate/Viaombatisho muhimu, chagua kinachohusika

  1. National ID/Kitambulisho cha Utaifa
  2. Letter from Local Government Authority/Barua kutoka Serikali za Mitaa
  3. Voters’ Card/Kadi ya kupiga kura
  4. Passport / Hati ya kusafiria
  5. Birth Certificates/ Cheti cha kuzaliwa

2:Applicant’s Declaration/ Uthibitisho wa Mwombaji

20. I, the undersigned, do hereby declare that the particulars given above are correct and complete to the best of my knowledge/ Nathibitisha kwamba taarifa zilizopo hapo juu ni kamili na sahihi kwa kadri ya ufahamu wangu.

Note:Any changes of details of Taxpayer Identification Number Certificate shall be communicated to Commissioner in writing within thirty days from the date of change. / Zingatia:Mabadiliko yeyote ya taarifa ulizotoa lazima yafikishwe kwa Kamishna katika kipindi kisichozidi siku thelalithini kuanzia mabadiliko yalipo tokea.

 

 

 

 

 
Signature of the Applicant/ Saini ya Mwombaji……………………………………